Search
Submit
No ad for you
No ad for you

By  Ibn Yusuph
Thu, 16-May-2024, 10:41

Tech development in Tanzania

Kuna App mpya ipo chini ya Tehamatz team ya uandaaji.
Wamezindua app mpya iitwayo Social pop 
Na mpka sasa iko playstore na iko on fire.
Ni mbogo mwenzetu amapambana na kutupa kitu chenye ubora wa hadhi yake kipo playstore. 

App link https://play.google.com/store/apps/details?id=com.mr.chatplace

Iko na size approximately 3MB
Hii ni social media platform kama imivyokuwa Facebook na zinaelekeana kwa kiasi kikubwa bal hazifanani.

Ni vizuri kutumia platform ya kizawa ingia playstore download unyama & Enjoy.

Hii imeundwa na mbongo na bado ni mpya.
Kubwa zaidi ni kuwa unaweza kuwa verified yaan upewe tick na pia unaweza kufanya monetization.
 Have a good morning

Categories:

YUNOH CLASSIC tz

Share via:

No ad for you