https://Yunohclassictz.websites.co.in/pages/hacking-ni-nini/349549
𝐓𝐔𝐏𝐀𝐓𝐄 𝐈𝐍𝐓𝐑𝐎.... 𝐊𝐈𝐃𝐎𝐆𝐎🔥
Siku hizi watu wanadhani hacking ni kuhusu ku hack account za watu za facebook au kuhack websites.Ndio hivyo vyote ni sehemu ya field yaJoin Us Here hacking lakini ni kijisehemu tu kwenye pande kubwa la hack...
Ili kuwa hacker unahitaji kwanza elimu ya msingi ya programming na interest na commitment ya kuwa hacker
Kila siku uwe tayari kujifunza na kujua kitu kipya kwan ulimwengu wa TECHNOLOGY unapanuka kila siku ndo maana huto mkuta hacker anazurura mitaani anakesha...