UFAFANUZI KIDOGO
LAIN YA UWAKALA UNAFAIDIKA NAYO NINI...!!!!
Lain ya uwakala ni lain ambayo ukiwa nayo unapata faida zifuatazo
👇
✅ unauza Mda wa maongezi na unalipwa commission.
✅ Unapo nunua luku na kulipia huduma mbali mbali za kiserikali unalipwa commission.
✅ Muteja anapo toa pesa unalipwa commission nono.
✅ Unapo muwekea mteja pesa kwenye account unalipwa commission....
✅ unapo enda kutoa commission YAKO hakuna makato ni bureeeee.
kuna watu wanapata commission mpaka 800K KWA mtandao mmoja tu karibuni niwatengeneze....lain za uwakala KWA gharama nafuu sana.