Search
Submit
No ad for you
No ad for you

Unapokuwa wakala utafaidika na nini?

Unapokea kamisheni pale mtu anapofanya muamala yaan anapotoa au kuweka hela wewe ndo unaingiza faida maana unalipwa kwa mtu kufanya muamala kuipitia lain yako. 


Je naweza vipi kuwa wakala? 

Ni kweli labda unaweza kujiuliza unaweza vipi kuwa wakala ni rahisi sana endapo utafuta maelekezo vizur baada ya hapo unaanza kupokea hela yaan biashara ya uwakala ni nyepesi na inahitaji umakini mkubwa lkn pia unajitengenezea hela kwa haraka zaidi kama una soko. 

Ninaposema soko yaan kabla ya kuamua kuwa wakala inabidi kwanza ufahamu hitaji la watu wako kupitia hilo utaweza kupata wateja. Hapo sasa ndo utaweza kula Kamisheni ya uwakika 

Hapa kwetu utaweza kujipatia lain za uwakala kwa bei nafuu 

                  AIRTEL MONEY @ 10,000/=

                  HALOPESA  @ 80,000/=

                   M- PESA @ 100,000/=

                    TIGO PESA @ 100,000/=

  1. NB ; malipo baada ya kazi  na malipo yanafanyika kwenye namba 0692725279 jina Shabani Marija

Honest Is Our Foundation 

Share via:

No ad for you