Search
Submit
No ad for you
No ad for you

๐“๐”๐๐€๐“๐„ ๐ˆ๐๐“๐‘๐Ž.... ๐Š๐ˆ๐ƒ๐Ž๐†๐Ž๐Ÿ”ฅ


Siku hizi watu wanadhani hacking ni kuhusu ku hack account za watu za facebook au kuhack websites.Ndio hivyo vyote ni sehemu ya field yaJoin Us Here hacking lakini ni kijisehemu tu kwenye pande kubwa la hack...ย 

Ili kuwa hacker unahitaji kwanza elimu ya msingi ya programming na interest na commitment ya kuwa hacker
Kila siku uwe tayari kujifunza na kujua kitu kipya kwan ulimwengu wa TECHNOLOGY unapanuka kila siku ndo maana huto mkuta hacker anazurura mitaani anakesha bar. Na hacker huwa penda sana kujifunza kila kukicha.ย 

Ndo maana binafsi huwa nikiona mtoto wa mtu anatoka na IT nachekaga๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ tu.ย 
Simaanishi IT ni hackerz , make kuna watu huwawanaekewa kwa nguvu yaan sio poa.

Sisi tuanzie hapa.ย 

ย *Aina ya hackers*ย 

ย _1.Script kiddie_ย 
Hawa ni watu wanaotumia tools,scripts,njia na programs zilizotengenezwa na hackers halisi.Hawa ni wale ambao hawajui vizuri system ilivyo lakini bado wanaweza kui haribu kwa kutumia njia ambazo tyar zipo, kwa ku copy kila kitu, na wengi tupo hapa.

ย _2.White hat hackers_ย 
Pia huitwa `Penetration testers`ย 
ย *Penetration testing* ni kitendo cha kupima uwezekano wa uwepo wa upenyo kweny system
White hat hacker huwa na lengo zuri la kujua matatizo kweny system kwa lengo la kuiongezea ulinzi,mara nyingi huajiriwa na makampuni kwa lengo la Security ya database.

ย _3.Black hat hackers_
Hawa pia ni penetration testers lakini lengo lao huwa si kwa ajili ya ulinzi bali kuiharibu system ili aidha waibe taarifa mbalimbali au waharibu tu utendaji wake wa kawaida.Wanchokifanya ni kinyume na sheria za kimtandao.
Mfano wao ni huy jamaa *Jonathan* aliefungwa jela miaka 16 baada ya ku hack server za *DTRA* moja ya idara nyeti nchini Marekani.ย 

Jonathan pia ali hack server za *NASA* na kuiba software yenye thamani ya dola 1.7milion(kama 4,377,500,000.00 za kitanzania).ย 

ย _4.Grey hat hackers_ย 
Hawa ni hackers ambao hujibadilisha kutokana na hali iliyopo anaweza kuwa na lengo baya au zuri
Hackers wa kundi hili wengi hufanya hacking kama fun tu au kuikosoa sytem flani kwamba inamakosa au kuitangaza njia mpya ya hacking aliyoigundua.
Mfano mwaka 2013, _Khali Shreateh_ ambae amekuwa akitolea kufanya reseach za ulinzi wa sytems za computer ali hack account ya facebook ya mgunduzi wa mtandao huo *Mark Zuckerberg* ili kum force arekebishe kosa aliloligundua ambayo ilimfanya aweze ku post kwenye ukurasa wa facebook wa mtu yoyote pasipo mtu huyo kupenda acha na hizi tagging za bongo.
Baada ya tukio hilo facebook walirekebisha tatizo hilo.

ย _5.Hactivists_ย 
Hawa ni hackers wanaotumia ujuzi wao wa hacking kwa ajili ya kutetea uovu unaofanywa na serekali au chombo cha umma,kwa kutoa taarifa za siri zilizojificha,na mara nyingi huwa kwenye vikundi mfano *Lulzsec*ย 
Mfano,kwenye uchaguzi wa Iran 2009 kundi la hackers lilitoa taarifa za siri zinazoelezea uovu wa serekali wakati wa uchaguzi.ย 

Hizo ndizo Aina au makundi makuu ya HACKERz.ย 

Turudi nyumban sasa(Tanzania) wengine wanapaita Bongo.ย 
Nchi iliyozindua TECHNOLOGY ya kutumia Fern mchana kupunguza joto lkn usiku kufukuza mbu๐ŸฆŸ๐ŸฆŸ sio poa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ.ย 

Hatuoakan mafuta kwa mgongo wa chupa, kufanikiwa katika hacking Tanzania ni ngumu.ย 
ย kwan inahitaji support binafsi watu either ubebwe kwa ujuzi wako ukafanye kazi na Polisi.

Lkn pia wengi hukimbilia katika cyber security au computer engineer,ย  IT expert , software engineer,ย  mobile developer, nkย 
na sio kuwa ethical hackerย .ย 
kwa hiyo kama unahitaji kuwa hacker soma sana achana na kupoteza muda. Muda โŒšโฒ๏ธ haukusubili wewe.ย 

kwa sababu bado watu wa Bongo hawajali sana kuhusiana na usalama๐Ÿ‘ฎโ€โ™‚ wao unaweza uka hack FB account yake. kesho akafungua nyingine pambana ili kukuzwa ndoto yako.ย 

hacking njia yake ni ndefu tofauti na field zingine katika maswala ya IT.ย 

Nifate Inbox kama unaitaji kujifunza zaidi +255692725279 kama upo tyr kulipia kwa ajili ya kukuandalia TUTORIALย 

Lkn pia kama hauko tyr napo pia mm sikulazimishi kulipia tufike 350 na kuendelea tutajifunza hacking za social mediaย 

NB :
ย  ย  ย  Ukijua hacking walau hata kidgo itakusaidia kujua attack wanazotumia hackerz hivyo itakusadia kujikinga
Ndo maana huwezi kusoma CYBER SECURITY bila ya kusoma CYBER ANALYSIS na kama ukifanya hivyo unakuwa sawa umefanya kazi bure kwa mlengo wangu binafsi.ย 

Keep sharing link & add to your extent.ย 

See you next time.

Share kwa watu wajue hii usiwe bahili wa maarifa.ย 

Usiache kushare linkย 

#DigitalProblemSolverzย 
#Houseoftechnologyย 
#Tuishikidigitali

Share via:

No ad for you